Share

ACHARI ZA MBOGA ZA KIARABU – KISWAHILI

Maji vikombe 3 – 370ml
Siki /Vinegar kikombe 1 /235ml
Chumvi ya mawe 1/4 robo kikombe – 62gms
Majani ya Bay leaf 2-3
Kitunguu thoum chembe 5-6
Sukari kijiko 1 kikubwa

Chupa safi na kavu
Mboga kama:
Carrot kubwa 2
Kitanngo 1
Beet Root 1
Turnips ratili 2 kiasi
Pilipili za kijani au nyekundu

Leave a Comment