Share

BAJIA ZA MBOGA MBOGA/PAKODA

Mahitaji

Unga wa dengu kiasi vikombe 2
Unga wa giligilani kjk 1 kidogo
Unga wa uzile kjk 1 kidogo
Pilipili manga kjk 1 kidogo
Pilipili ya unga kjk 1 kidogo
Aking powder robo ¼ kjk kidogo ( kama utapenda)
Chumvi kiasi
Mafuta ya kupikia kjk 1 kidogo

Mboga ya mchicha ilo katwa
Karori zilo parwa
Mbatata/viazi viloparwa
Zukini iloparwa
Vitunguu vya kijani
Kitunguu Maji
Cauliflower
Majani ya dania/giligilani/kotmiri

Recipe ya chatine https://youtu.be/iNVW_rsDeak

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment