Share

BIRIANI YA SAMAKI WA NAZI

Kwa wali
Vikombe 2 ½ mchele basmati rice
Hiliki za kijani 4-6
Hiliki nyeusu 1 (kama utapenda)
Kijiti cha mdalasinia 1
1 Bay leaf
Karafuu 3
1 star anise
Bizari nzima kijiko 1 kidogo
Zafarani kidogo
Maji ya mawardi vijiko 2 vidogo
Pili mbichi 1
Kijiko kdg 1 cha mafuta
Chumvi kiasi

Kwa Samaki

Samaki pound 2 /1 kgs
Kitungu thom na tangawizi mbichi ya kusaga kjk 1 kikubwa
Masala ya biriani au garama masala vjk 2 vikubwa
Kjk 1 kdg bizari nzima ya unga
Kjk 1 kdg pilipili ya unga nyekundu
Robo kjk kdg bizari ya manjano
Kjk kdg 1 chumvi
Vjkvikubwa 2 maji ya ndim au limao

Rosti
Vitunguu 3 vyekund vya kiasi
Kifungu kidogo 1 cha majani ya nanaa (kiasi 1/2 kikombe )
Kifungu 1cha kiasi majani ya giligilani (kiasi 3/4 )
Vjk 2 vidogo masala ya birinia au garam masala
Kjk 1kdg unga wa giligilani
Kjk 1 kdg pilipili ya unga nyekundu
Kjk kikubwa 1 ½ Tbl kitunguu thom na tangawizi ya kusaga
Chumvi ya kutosha
Pilipili mbichi kiasi 2-3
Tui zito la nazi kikombe 1
NILISAHAU NDIMU KAVU KAMA UTAPENDA INAPENDEZA SANA

Leave a Comment