Share

BOKO BOKO – KISWAHILI

Mahitaji Bokoboko
Chakula kutosha kiasi watu 4 – 6

Kikombe 1 ½ Ngano zikutwanga (Bulgur Course #3)
Maji vikombe 5-6
3 cloves of fresh garlic
Tangawizi mbichi kiasi cha ukubwa wa kidole gumba
Hiliki nzima kiasi 4
Vijiti 2 vya mdalasini
Magi cube 1 au 2 ( inategemea chumvi utakavyoenda)
Samli vijiko 2 vikubwa

Sosi ya ( Torshe)
Tende nzima kiasi 6
Maji mazito ya ukwaju , vijiko 2 vikubwa
Zabibu kavu nyeusi kiasi kijiko 1 kikubwa
Sukari kijiko 1 kikubwa
Maji robo kikombe

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

Leave a Comment