Share

CAKE YA CHOCOLATE NA ICING YA MOCHA (LADHA YA KAHAWA)

Mahitaji:

Unga wa ngano vikombe 3 /375gms
Unga wa cocoa kikombe 1 1/2 -177 gms Cocoa Powder (nimetumia aina ya Hersheys)
Sukari Vikombe 3 /600gms
Baking Soda vjk 3 vdg
Baking Powder kjk 1 na 1/2 (kjk kidogo)
Chumvi robo ¼ kjk kdg
Mdalasini wa unga vjk 2 vdg
Mayai 3
Butter milk kikombe 1 na 1/2 /350ml (mtindi mwepesi)
Mafuta ya kupikia kikombe kasoro ¾ – 175ml
Vanila vjk 2 tsp vidogo
Kahawa ya moto kikombe 1

Shira
Maji vikombe 2
Sukari vikombe 2
Kahawa ya unga kjk 1 ½ mpka 2
Mdalasini wa unga kidogo kama utapenda

Mocha buttercream
Siagi vikombe 2 /450gms
Sukari ya unga vikombe 2 1/2
Chocolate nzima ya kupikia 08 oz/
Unga wa cocoa robo 1/4 kikombe
Chumvi robo kjk cha chai 1/4

Leave a Comment