Share

CAKE YA RED VELVET YA MAR MAR – KISWAHILI

Unga mweupe vikombe 3 /385gms
Baking powder Vjk 2 vidogo
Chumvi nusu ½ kjk kidogo

Siagi kikombe 1 /225gms (2 sticks)
Sukari vikombe 2 1/2 cups/500gms
Maziwa ya mtindi kikombe 1 ½ /350ml
Arki ya Vanilla vjk 2 vidogo
Mayai 6 egg

Mchanganyiko wa red velvet
Unga wa cocoa vjk 3 vikubwa
Baking soda ¼ kjk kidogo
Maji ya siki kjk 1 kdg ( vinegar)

Kwa recipe ya hasa ya red velvet marble pound cake inapatikana hapa https://www.ihearteating.com/?s=red+velvet+marble+pound+cake

Leave a Comment