Share

CHICKEN TIKKA BIRIANI – KISWAHILI

Mahitaji

Chakula kutosha watu kiasi 4-6

Mchanganiko wa 1 ( kutengenza Kuku)
Kuku Pound 2/900 gms mpka kilo
Tangawizi mbichi na thom ilosagwa – kijiko 1 kikubwa
Pilipili ya unga nyekundu nusu kjk kidogo ½
Ndimu/Limao Kiji 1 kikubwa

Mchanganyiko wa 2 ( Kuroweka Kuku)
Mtindi mzito kikombe 1
Tangawizi mbichi na thom ilosagwa – kijiko 1 kikubwa
Pilipili ya unga nyekundu kjk 1 kidogo
Bizari ya manjano nusu kjk kidogo ½
Mchanyiko wa bizari ya (garam masala) Kjk 1 kidogo
Unga wa mbegu za giligilani nusu kjk kidogo
Mafuta ya mustard au ya aina yoyote Kjk 1 na ½ kikubwa )
Chumvi kiasi

Mataarisho ya Wali
Mchele wa aina ya basmati vikombe 3
Bizari nzima kjk 1 kidogo
Majani makavu 2 (bay leaves)
Karafuu nzima 5
Kijiti cha mdalasini 1
Pilipili manga nzima kiasi 5-10
Hiliki nzima kiasi 4-6
Nyuzi za zaafarani ( kama utapenda)
Chumvi kiasi
Maji ya mawardi kjk 1 ½ ( kama utapenda)

Rosti la biriani

Mafuta ya kupikia vjk 3 vikubwa
Kitunguu maji kilokatwa kikombe 1 ( Kitunguu 1 kikubwa)
Tangawizi mbichi na thom ilosagwa – kijiko 1 kikubwa
Pilipili ya unga nyekundu ½ kjk kidogo
Bizari ya manjano nusu kjk kidogo ½
Mchanayiko wa bizari ya (garam masala) Kjk 1 kidogo
Unga wa mbegu za giligilani nusu kjk kidogo
Nyanya ilokatwa vipande vidogo – Kikombe 1 (nyanya 3 za kiasi)
Mtindi mzito vijio 2 vikubwa
Chumvi kiasi
Pilipili za kijani kama (utapenda )

Kwa mapambo:
Kitunguu kilo kaangwa
Majani ya giligilani

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

Leave a Comment