Share

Cinnamon Streusel ( Cake ya kunywia kahawa) KISWAHILI

Mahitaji – kwa streusel
Siagi robo kikombe /60 gms
Sukari ya brown nusu kikombe /100gms
Unga mweupe 1/2 kikombe /60 gms
Mdalasini wa unga kjk 1 kidogo
Chumvi kidogo

Mahitaji ya cake

Unga wa ngano vikombe 2 1/4 Cu/281gms
Baking powder kjk 1 kidogo
Baking soda nunu kjk kidogo
chumvi kidogo
Siagi nusu kikombe /113gms
Sukari kikombe 1 /200gms
Mayai 2 makubwa
Buttermilk kikombe 1 /250ml
Arki ya Vanilla kjk 1 kikubwa

Mchanganyiko wa katikati

Sukari kjk 1 kikubwa
Mdalasini wa unga kjk 1 kikubwa

Uka kwenye moto:
BAKE AT 350F/177C
FOR 40-45MINUTES

Leave a Comment