Share

Cookies za Karanga – Kiswahili

Mahitaji:
Unga wa ngano mweupe kikombe 1 na robo
Baking powder 1/2 nusu kijiko kidogo
Baking soda 1/2 nusu kijiko kidogo
Siagi nusu 1/2 kikombe
Siagi ya karanga (peanut butter) kikombe 1
Sukari nyeupe kikombe kasoro 3/4
Sukari ya brown 1/2 nusu kikombe
Vanilla kijiko 1 kidogo
Yai 1
Karanga nzima nusu 1/2 kikombe

Oka kwa moto 350F/180C kwa dakika 12-13 , toa kwenye oven wacha kwenye tray kiasi dakika 10 zimalizike kuiva na kushikana vizuri

Leave a Comment