Share

JINSI YA KUKAANGA SAMAKI MZIMA

Ingredients

Samaki 2 wa kiasi
Kitunguu thom chembe 6
Tangawizi mbichi kiasi ukubwa wa kidole gumba
Pilipili ya unga 1/2 kjk kidogo
Bizari ya uzile ya unga 1/2 kjk kidogo
Unga wa dania/giligilani 1/2 kjk kidogo
Bizari ya manjano 1/4 kjk kidogo
Pilipili manga ya unga – nusu kjk kidogo
Majani ya nanaa ( kama utapenda)
chumvi kiasi
Maji ya ndimu au limao – kjk 1 kikubwa
Mafuta ya kupikia – kjk 1 kikubwa

Mafuta ya kukaangia kiasi 1/2 kikombe

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment