Share

JINSI YA KUPIKA MAINI YA N’GOMBE MALAINI – KISWAHILI

Mahitaji :

Maini ya n’gombe 1.5 Lb/ 680gms

Kwa kuroweka

Unga wa giligilani – kjk 1 cha chai
Unga wa bizari nzima kjk 1 cha chai
Pilipili ya unga nyekundu – kjk 1 cha chai
Pilipili manga ya unga – kjk 1 cha chai
Chumvi kiasi
Kitunguu thom na tangawizi mbichi – kjk 1 kikubwa
Maji ya ndimu au limao
Mafuta ya hali zetu au yoyote ya kupikia – kjk 1 na nusu

Mahitaji ya mchu
Mafuta ya kupikia vjk 2 vikubwa
Vitunguu maji vilokatwa kiasi kikombe 1
Tomato zilokatwa kiasi kikombe 1
Bizari ya nzima (uzile) ya unga – 1/2 kjk
Bizari ya unga wa giligilani – 1/2 kjk
Kitunguu thom na tangawizi mbici – vjk 2 vidogo

Pili pili boga za rangi – kama utapenda

Majini ya dhania/kotmiri kwa mapambo kama utapenda
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment