Share

JINSI YA KUPIKA PIZZA -KISWAHILI

Sosi ya pizza
Mahitaji

Mkebe mmoja wa nyanya 280z/794 gms
Nyanya za kawaida mbichi kiasi gram 800

Vitunguu thom kiasi chem 4/5
Mafuta ya halizeti vinjiko 2 vikubwa
Sukari kijiko 1 kikubwa au zaidi
Chumvi kijiko 1 kidogo
Pilipili mannga 1/2 kijiko kidogo
majani ya zaatari/saatari makavu na mabichi kama utapenda

Kwa Unga wa pizza
Unga wa ngano vikombe 3 1/2
Maji ya vuguvugu kikombe 1
Sukari vijiko 2 vikubwa
Chumvi kijiko 1 kidogo
Hamira vijiko 2 1/2 vidogo ( gms 7)
Mafuta ya halizeti vijiko 2 vikubwa

OKA PIZZA MARA YA KWANZA MOTO 400F/260C kwa dakika 5 , halafu endeles kwa dakika 7/8

Jinsi ya kupika nyanya mbichi (blanching)https://youtu.be/sdHEn2prJ0c

Leave a Comment