Share

JINSI YA KUPIKA WALI WA PAELLA WA SEAFOOD

Mahitaji

Vikombe 2 1/2 mchele mnene mfupi
Vikombe 4 supu utakayopenda
Vijiko 3-4 Tvikubwa vya nafuta ya halizeti
Kitunguu 1 cha kiasi kilo katwa
Nyanya kiasi 4 zilotolea maganda na kusagwa
Zafarani robo kijiko 1/4 tsp au nyuzi 20-25
Kjk 1 kidogo cha pilipili ya paprika ua yoyote nyekundu
Kombe kiasi 8 -10
Chaza kiasi 8-10
Ngisi 1 mkubwa
Kamba wa kubwa kiasi 10-12
Chumvi kiasi
mboga mboga kama utapenda

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment