Share

JINSI YA KUTENGENEZA NDIMU NYEUSI

Ndimu kavu nyeusi inatumikana sana kwenye mapishi ya nchi za kiarabu na pia Iran na sehemu za India kwenye mapishi kama ya bamia, michuzi ya aina mbali mbali, smakai wa kuchoma na pia wali

Leave a Comment