Share

KABAB (MISHKAKI) YA TANDOORI NA SOSI YA THOM

Mahitaji:

Pound 2/907gms Kidari cha kuku
Chumvi vijiko 2 vidogo
Pilipili ya unga kijiko 1 kidogo
Tandoori Masala kijiko 1 kikubwa
Maji ya ndimu au limao vijiko vikubwa 2
Mtindi vijiko 3 vikubwa
Sauce ya garlic vijiko 5 vikubwa

Mahitaji ya kufanya tandoori masala nyumbani

2 tsp unga wa bizari nzima
2 tsp unga wa mbegu za giligilani coriander
1 tsp bizari ya manjano
1 tsp pili pili ya unga
1 tbs pili pili ya mprika
1 tsp unga wa mdalasini
1 tsp hiliki ya unga
1 tsp tangawizi ya unga
1 tsp unga wa kitunguu thom ( kikavu)
1/4 tsp rangi nyekundu ya unga
1/4 tsp karafuu ya unga
1/2 tsp pilipili manga ya unga

Leave a Comment