Share

KABAB ZA GRILL ZA NYAMA YA KUSAGA – KISWAHILI

Mahitaji kwa kababu 10-12

Nyama ya kusaga (n’gombe, mbuzi au kondoo) Pound 1 na 1/2 – 710 gms ( iwe na 15-25% mafuta)

Kitunguu 1 cha kiasi
Majani ya Kotmiri/giligilani/dania fungu moja au vijiko 3 vikubwa
Majani ya nanaa vijiko 2 vidogo
Kitunguu thom vijiko 2 vidogo
Tangawizi mbichi kijiko 1 kidogo
Pilipili ya kijani kama utapenda
Pilipili ya manga ya unga kijiko 1 kidogo
Pilipili nyekundu ya unga kijiko 1 kidogo
Pilipili ya unga wa paprika kijiko 1 kidogo ( sio lazima)
Unga wa bizari nzima kijiko 1 kidogo
Unga wa kotmiri/dania/giligilani Kijiko 1 kidogo
Chumvi vijiko 2 vidogo ( utapunguza au kuzidihsa kaisi chako)

Siagi iloyayushwa

Leave a Comment