Share

KUKU WA PERI PERI

Mahitaji

Mapande 4-6 ya miguu na paja
Pilipili boga nyekundu 1
Kitunguu 1 kikubwa
Kitunguu thom 1 kizima
Pilipili nyekundu 5-10 ( au zaidi)
Ndimu 2
Mafuta ya halizeti 1/4 kikombe
Vijiko 2 vikubwa red wine vinegar
Chumvi kiasi
Pilipili ya paprika ya unga au yoyote kjk 1 kikubwa

Unaweza kutumia aina yoyote ya majani kati ya haya au kuchanganya

Fresh or dried thyme
Majani ya mrehani mabichi au makavu
Majani ya saatari mabichi au makavu
Tarragon
Bay Leaf

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment