Share

KUKU WA ROSTI LA VITUNGUU – KISWAHILI

Kuku mzima alokatwa vipande vidogo ( nimetumia 3.5 lb – 1.5 kgs)
Vitunguu 3 vikubwa kiasi 1.5 lb /680gms
Kijiko 1 kikibwa bizari nzima
Kijiko 1kidogo cha unga wa bizari nzima
Kijiko 1 kikubwa pilipili manga nzima
Kjk 1 kidogo pilipili manga ya unga
Chembe 6 kitunguu thom
Ukubwa wa kidole gumba – tangawizi mbichi
chumvi kijiko 1.5 kidogo

Leave a Comment