Share

Mapishi ya Croissants – Kiswahili

Croissants – utapata 24
Mahitaji:

Unga wa ngano mweupe vikombe
Kikombe 1 maji ya umoto wa vugu vugu
Maziwa nusu ½ kikombe
Sukari robo ¼ kikombe
Hamira vijiko vidogo 3
Chumvi kijiko 1 na ½ kidogo
Siagi Vijiko 4 vikubwa

Sigai vikombe 2 ya kusukumia

Leave a Comment