Share

Mbaazi za Nazi – Kiswahili

Mahitaji kwa watu wa 4

Kikombe 1 Cup Mbaazi kavu ( Pegion Peas/Toor) roweka usiku kucha, kisha chemsha zi ive
1/4 kikombe kitunguu maji viande vidogo
Tomato 1 ilokatwa vipande vidogo
Kijiko 1 kikubwa tangawizi na thom ilosagwa
1/2 kijiko chumvi
1/4 kijiko kidogo bizari ya manjano
1 3/4 vikombe vya tui yepesi la nazi au kiasi kufunika mbaazi
1/2 kikombe tui zito la nazi

Leave a Comment