Share

MBATATA/VIAZI VYA KITUNGUU THOM NA MCHICHA

Viazi ½ au kilo ( pound 1 ½ mpka 2 ziwe na maganda
Mboga ya mchicha oz8/227 gms
Fungu 1 la majani ya giligilani/kotmiri
Vichwa 2 vya kitunguu thom
Bizari ya uzile ya unga kjk 1 na ½ kidogo
Pilipili manga ya unga kjk 1 ½ kidogo
Pilipili nyekundu ya unga kjk 1 ½ kidogo
Chumvi kiasi
Mafuta ya halizeti vijiko 3-4 vikubwa

Samaki wa kuoka https://youtu.be/orjt3O659sU
Sosi ya kitunguu thom https://youtu.be/xWiAfrLLQ7c

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment