Share

MBOGA YA MCHICHA NA NJEGERE

Mahitaji

Mboga ya mchicha fresh kiasi 16 oz/454 gms ( blanched)
Mafuta ya kupikia kiasi vijiko 2 vikubwa 1 Tbl Cumin seeds
Kitunguu cha maji 1 cha kiasi (kilokatwa vipande vidogo)
Kitunguu thom na tangawizi kjk 1 kikubwa
Garam masala kjk 1 kikubwa
Unga wa giligilani/dhani kjk 1 kidogo
Unga wa 1 bizari nzima kjk 1 kidogo
Pilipili manga ya unga kjk 1 kikubwa
Bizari ya manjano nusu 1/2 kjk kidogo
Chumvi kiasi
Pilipili mbichi za kijani 1 au 2 ( kama utapenda)
Nyanya 1 kubwa ( ilo chemshwa na kukatwa)
Nyegere mbichi au za kuganda nusu kikombe mpaka 1
Fungu 1 la majani ya giligani/kotmiri
Tui la nazi zito au heavy cream vijiko vikubwa 3 mpaka 4
Mapambo

Samli kjk 1 kikubwa
Bizari nzima kjk 1 kidogo
Majani ya giligilani

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment