Share

MCHUZI WA MOJA KWA MOJA ( WA KUKU)

Mchuzi wa Moja Kwa moja

Kuku mzima alokatwa kiasi 1 na ¼ au Zaidi
Maji kiasi vikombe 4 /ml 1000
Tungule (nyanya) kiasi 4 zilokatwa vipande vidogo
Nyanya nzito ya kibati vjk 2 vikubwa
Kiatunguu maji cha kiasi 1 kilokatwa vipande vidogo
Kitunguu thom na tangawizi ilosagwa kiasi – kijiko 1 kikubwa
Bizari ya mchuzi kiasi
Chumvi Kiasi
Ndimu Kiasi
Pilipili Manga kjk 1 kikubwa ( au Zaidi )
Pilipili ya unga kjk 1 kidogo ( au Zaidi)
Mafuta ya kupikia kjk 1 kikubwa
Mbatata kiasi ( kama utapenda)
Kotmiri kiasi kama utapenda

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment