Share

MCHUZI WA SAMAKI WA NAZI

Mahitaji:

Samaki wanguru au aina yoyote kiasi kilo 1
1 Mafuta ya kupika – kjk 1 kikubwa
Bizari ya manjano ¼ kijiko kidogo
Chumvi kiasi
Pilipili ya unga kijiko 1 kidogo
Ndimu/limao

Kitunguu cha kiasi 1 (kilokatwa vipande vidogo)
Kitunguu thom na tangawizi mbichi kilosagwa – kjk 1 kikubwa
Nyanya za kiasi 3 (kata vipande vidogo au saga)
Pilipili mbichi 1-2 kamam utapenda
Bizari ya mchuzi utakyopenda
Kijiko 1 kikubwa nyanya nzito ya kibati
Fish sauce kjk 1 kidogo kama utapenda
Chumvi kiasi
Tui la nazi la kiasi (ongeza maji kama utahitaji)

Mapishi ya mboga za kukaanga kutoka Jikoni Magic https://youtu.be/XBkuwMgBBLQ

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment