Share

Mkate wa ajemi/Bwana Kiswahili

Mahitaji:
Mahitaji
Unga wa ngano vicombe 4 – 520 gms
Hamira kijiko 1 kikubwa – 17 gms
Baking soda kijiko cha chai 1 & 1/2 – 10.5 gms
Chumvi kijiko cha chai 1 & 1/2 – 9 gms
Maziwa ya mtindi kikombe 1
Maji nusu kikombe ( kwa kuzimua mtindi)
Mafuta vijiko 2 vikubwa
Yai 1

Leave a Comment