Share

Mkate wa Mayai – Kiswahili

Mahitaji:

Unga wa ngano mweupe – MUG 1
Mayai – MUG 1
Sukari 1/2 ya mug
Chumvi – kidogo
Hiliki ya kusaga – 1/4 au 1/2 kijiko kidogo ( utakavyopenda)
Vanila au arki utakayopenda – kijiko 1 kidogo

Leave a Comment