Share

MKATE WA NAAN WA SIAGI NA KITUNGUU THOM ( BILA HAMIRA)

Naan
Unga wa ngano mweupe vikombe 4 /512gms , ½ kg
Sukari vijiko 2-3 vya chai
Baking powder ½ kjk cha chai
Baking soda ½ kjk cha chai
Chumvi kiasi ½ – 1 kjk cha chai
Unga wa bizari nzima ( uzile) kjk 1 chai chai – sio lazima
Maziwa ya mtindi mazito ½ kikombe
Mafuta ya kupikia vjk 2 vikubwa
Maji ya kikombe 1/236ml
Kitunguu thom kilosagwa ½ kjk cha chai

Kwa kupa juu
Siagi vijiko 3-4
Kitunguu thom cha kusaga kiasi kjk 1 cha chai au zaidi

Naan
Unga wa ngano mweupe vikombe 4 /512gms , ½ kg
Sukari vijiko 2-3 vya chai
Baking powder ½ kjk cha chai
Baking soda ½ kjk cha chai
Chumvi kiasi ½ – 1 kjk cha chai
Unga wa bizari nzima ( uzile) kjk 1 chai chai – sio lazima
Maziwa ya mtindi mazito ½ kikombe
Mafuta ya kupikia vjk 2 vikubwa
Maji ya kikombe 1/236ml
Kitunguu thom kilosagwa ½ kjk cha chai

Kwa kupa juu
Siagi vijiko 3-4
Kitunguu thom cha kusaga kiasi kjk 1 cha chai au zaidi

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment