Share

PILAU/WALI WA KABULI – KISWAHILI

MAHITAJI

Serves 2-4

Mchele wa Basmati vikombe 2
Mchanganyiko wa bizari za kabuli au pilau – vijiko 2 mpka 3
Kitunguu 1 kikubwa kilokatwa
Kuku 1 wa kiasi alokotwa vipande 8 vibubwa au zaidi
Kjk 1 kikubwa cha kitunguu thom na tangawizi ilosagwa
Chumvi kiasi
Robo 1/4 kikombe sukari
Karoti kiasi 2 au 3
Hiliki ya unga kjk1 kidogo
Zabibu kavu nyeusi nusu 1/2 kikombe
Lozi robo 1/4 kikombe (sio lazima)
Vitunguu vya kukaanga 1/4 robo kikombe (sio lazima)
Mafuta ya kukaangia nusu 1/2 kikombe

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment