Share

ROCK CAKE IN KISWAHILI

Mahitaji:

Unga wa ngano kikombe 1 au 225gms
Siagi 1/4 kikombe au 100 gms
Sukari 1/4 kikombe au grams 50
zabibu kavu au tunda lolote kavu utakalo penda gram 50-60
Yai 1
Maziwa kais kijiko 1 mpka 2 vikubwa

Aina mbali mbali za ladha kama utapenda
Vanilla
Mdalasini wa unga
Kungumanga ya unga
Maji ya machungwa
Maganda ya machungwa

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment