Share

ROCKET SHRIMP ROLLS – KISWAHILI

Kamba ya kubwa kiasi 20
Kijiko 1 kikubwa kitunguu thom na tangawizi ilosgwa
¼ kijiko kdg pilipil manga nyeupe ya unga
¼ kijiko kdg pipipili manga nyeusi ya unga
½ kijiko kdg soy sauce
½ kijiko kdg oyster sauce

Kijiko 1 kikubwa kitunguu thom na tangawizi ilosagwa
¼ kijiko kdg pilipil manga nyeupe ya unga
¼ kijiko kdg pipipili manga nyeusi ya unga
½ kijiko kdg soy sauce
½ kijiko kdg oyster sauce
Kikombe 1 carrot zilikwatwa urefu
Kikombe 1 cabbage ilokatwa kwa urefu
½ kikombe kitunguu cheupe kilokatwa chembamba
½ kikombe kitunguu cha kijani (spring onion)
½ kijiko sukari

Leave a Comment