Share

SHAWARMA YAKUTENGENEZWA NYUMBANI

Mahitaji kwa sanwich kiasi 6-8

Pilipili manga 1/2 kjk kdg
Mdalasini wa unga 1/2 kjk kdg
Hiliki ya unga 1/2 kjk kdg
Unga wa mbegu za giligilani 1/2 kjk kdg
Unga wa bizari nzima 1/2 kjk kdg
Pilipili ya unga wa paprika 1/2 kjk kdg
Kungumanga ya unga 1/4 kjk kdg
Karafuu ya unga 1/4 kjk kdg
Pilipipili ya unga ya kuwasha 1/4 kjk kdg
Chumvi kiasi
Kitunguu thom cha kusaga kjk 1 kdg
Mafuta ya halizeti – kjk 1 kikubwa
Maziwa ya mtindi robo kikombe

Optional Condiments:

Kitunguu maji na majani ya giligilani ( kama utapenda)
Nyanya ilokatwa vipande vipande
Majani ya salad yalokatwa kwa urefu

Sosi ya kitunguu thom https://youtu.be/xWiAfrLLQ7c
Sosi ya tahini https://youtu.be/20s-42Enqn4
Mkate wa pita https://youtu.be/O5kwvJQKeW4

Leave a Comment