Share

SOSI YA HOLLANDAISE ( MAMA WA SOSI 2) KISWAHILI

Mahitaji kwa sosi ya vipimo 3

Viini ya yai 2
Maji ya ndimu, limao au siki – nusu 1/2 mpka kikombe kasoro 3/4
Siagi iloyayushwa Kijiko 1 kikumbwa au zaidi inategemea na uzito utakao penda

Chumvi kiasi
Pilipilimanga kiasi
Maji – kama utahitaji

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment