Share

SUPU YA SEAFOOD YA CREAM NZITO

Mahitaji ya broth

Magamba ya kaa nimetumia kaa kiasi gram 900 unaweza kutumia kilo
Carrot 1
kitunguu maji 1
Celery miche 2 – ( sio lazima )
kitunguu thom chembe 3-4
Karafuu – 2
majani makavu ya bay leaf 2
Majani makavu ya thyme – kiasi
Maji kiasi vikombe 6 yaani kiasi lita 1 na nusu

Kwa supu:
Siagi vijiko 3 vikubwa
Unga vijiko 3 vikubwa
Pilipili ya paprika au yoyote nyekundu isiyowasha – kjk 1 kidogo
Supu ya broth – kiasi vikombe 3-4 inategemea na uzito utakao penda
Zafarani kiasi nyuzi 10 hivi
Chumvi kiasi
Heavy whipping cream – 1/2 kikombe kama utapenda

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment