Share

TAMBI ZA KUKAANGA – KISWAHILI

Mahitaji :

Vermicelli – 1 pkt/180gms
Samli – Kjk 1 1/2 Kikubwa
Sukari – Vijiko 2 1/2 mpka 3
Hiliki ya unga robo kijiko
Zabibu kavu – kiasi
Baadhi ya viungo vengine kama
utapenda ni – vijiti vya mdalasini, lozi na Vanilla

Leave a Comment