Share

UJI WA MCHELE

Mahitaji:

Mchele ulopondwa/mzima ( Nimetumia vijiko 2 vikubwa)
Tui la nazi ( Nimetumia kikombe kasoro 3/4)
Maziwa ya kawaida ( Nimetumia robo kikombe 1/4)
Maji 1/4 kikombe
Sukari ( kama utapenda)
Chumvi kidogo ( kama utapenda)

Pilipili manga
Mdalasini
Bizari nzima ( uzile)
Hiliki

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment