Share

UJI WA PILI PILI MANGA – RAMADHAN COLLABORATION

HII VIDEO NIMEFANYA COLLABORATION NA WAPISHI WENGINE KWA RECIPE TAFADHALI FUATA HAPA CHINI

UJI WA NGANO – SHUNA’S KITCHEN https://youtu.be/ue3_Lw6oJHk

UJI WA LISHE – FARHAT YUMMY https://youtu.be/YsDRPxRCBAU
Mahitaji:

Unga Semolina/Unga wa mahindi/sembe/dona
Maji
Sukari
Pilipili manga ya unga

Viungo vyengine sio muhimu kama utapenda
Maziwa
Madawa kama (hiliki ,pilipli manga, bizari nzima, mdalasini)
Ndimu

UJI WA NGANO SHUNA’S KITCHEN https://youtu.be/ue3_Lw6oJHk
Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment