Share

VITAFUNIO VYA KAMBA ( SHRIMP BITES) RAMADHAN COLLABORATION

Mahitaji

Kamba kiasi pound 1/ 500 gms alosafishwa
Tangawizi mbich na kitunguu thom kilosagwa kiasi kjk 1 kikubwa
Pili pili manga ilosagwa ½ kjk 1
Kitunguu maji ½ kilo katwa vipande vidogo vidogo
Pilipili boga nusu lilo katwa vipande vidogo
Majani ya dania/giligilani ½ fungu
Pilipili ya kijani au yoyote kama utapenda
Vitunguu vya kijani 2-3
Soy soso vjk vidogo 1- 2
Mayai 2
Chumvi kiasi
Chenga za mkate kiasi robo – mpka nusu kikombe kwa kuchanganyishia

Kikombe 1 cha chenga za mkate kwa kueka juu
Mafuta ya kupikia

shuna’s sweet and sour sauce https://youtu.be/MwJIPkrWdXU
Chicken donut shuna’s kitchen https://youtu.be/YVNL59E5tdw
Bajia za viazi – Farhat Yummy https://youtu.be/lX1fGgIyP9c

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment