Share

WALI WA KABSA WA KUKU

Kwa kuroeka kuku

Chumvi nusu kjk kidgo 1/2
Pilipili manga ya unga nusu kjk kidogo 1/2
Maji ya ndimu – kjk 1 kikibwa
Machanganyiko wa kitunguu thom na tangawizi mbichi – kjk 1 kikubwa

Mahitaji ya wali

Mchele vikombe 2 /390 gms
Kitunguu maji kilokatwa kiasi kikombe 1
Tangawizi mbichi ilosagwa kijiko 1 na nusu
Uzile wa unga kjk 1 kidogo
Mdalsini wa unga kjk 1 kidogo
Hiliki ya unga kjk 1 kidogo
Bizari ya manjano nusu kjk kidogo
Pilipili manga ya unga nyeusi nusu jkj kidogo
Pilipili manga ya unga nyeupe nusu kjk kidogo
Unga wa karafuu robo kjk kidogo
Nyanya zilokatwa kiasi kikombe 1
Karoti iloparwa kiasi kikombe 1
Ndimu kavu nyeusi 2
Nyuzi za zafarani kama utapenda sio lazima

Bizari nzima nzima – sio lazima kama utapenda

Vijiti vya mdalasini 3
Hiliki nzima 3
Majani makavu ya Bay 2
Karafuu nzima 3
Pilipili manga 10

Mapambo ya juu ya wali

korosho, zabibu kavu za iana yoyote, lozi , pistachio n.k
Mafuta kjk 1

Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Traditional Saudi Food – Eman https://youtu.be/HX9_nwam0rg

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Kamboka

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

Leave a Comment