-
FRENCH BREAD PIZZA - November 30, 2018
-
FRENCH BREAD PIZZA – KISWAHILI - November 30, 2018
-
CHICKEN PEPPER SOUP RECIPE | Nigerian Food Recipes - November 29, 2018
-
[EN] Almond Mhencha / محنشة باللوز – CookingWithAlia – Episode 693 - November 29, 2018
-
How to make Carrot cake at Home - November 29, 2018
-
Ukwa! Breadfruit bubbling 😋 - November 28, 2018
-
Abacha Mmiri Bobozi & Let’s Talk About Cyanide Poisoning | All Nigerian Recipes - November 27, 2018
-
How to cook Quick and Tasty Chicken Liver - November 26, 2018
-
OVEN BAKED MACKEREL FISH RECIPE | Nigerian Food Recipes - November 25, 2018
-
We Are Back + Christmas Giveaway - November 25, 2018
JINSI YA KUPIKA MUFFINS ZA MATUNDA YA APPLE NA VIUNGO ( SPICES)
Mahitaji
Unga wa ngano vikombe 2 (230 -250gms)
Unga wa mdalasini ½ kjk cha chai
Unga wa kungumanga ½ kjk cha chai
Unga wa karafuu ¼ kjk cha chai
Chumvi kjk 1 cha chai
Baking powder vjk 2 vya chai
Baking soda ¼ kjk cha chai
Siagi au margarine ½ kikombe ( 100gms)
Sukari ½ kikombe ( 100gms)
Yai 1
Maziwa ya buttere milk ½ kikombe ( 120ml)
Apple 1 kubwa lilomenywa na kukatwa vipande vidogo vidogo
Maji ya machungwa kiasi vjk 2-3
topping
Unga wa ngano robo kikombe ¼
Siagi ¼ kikombe
Sukari ¼ kikombe
Mdalasini wa unga ¼ kjk cha chai
Kungumanga ya unga ¼ kjk cha chai
Unga wa karafuu 1/8 cha chai
¼ tsp ground nutmeg
1/8 tsp clove powder
Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en
Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world