Share

JINSI YA KUTENGENEZA MTINDI/YOGURT NYUMBANI

Mahitaji

Kwa kila vikombe 2 mpaka 3 vya maziwa
Tumia vijiko 2 vikubwa vya mtindi

Pasha maziwa moto kiasi cha kuchemka lakini USICHEMSHE
Kama unatumia thermometer iwache ifike 180F/82C

Ondoa kwenye moto halafu uwache yapewe kufika temperature 110-115F/43 – 46C ( yaani ni vugu vugu yasiunguze)

Changanya mtindi na maziwa vizuri
Funika, weka sehemu ya joto au weka ndani ya oven, washa taa ya oven umate umoto wa oven ( usiwashe moto wa oven!!)
weka kiasi masaa 6-8 hrs

Baada ya masaa 6 au 8, ondoa kwneye sehemu imoto mtindi wako utakua ushakua mzito , weka ndani ya fridge kiasi masaa 2/3 upate kushikana vizuri

Leave a Comment