Share

KUKU WA MACHUNGWA ( PISHI LA PANDA EXPRESS)

Grams 500 nusu kilo kidari cha kuku( kata vipande vidogo)
Kiasi chembe 2/3 za kitunguu thom kilosagwa
Chumvi ½ kjk cha chai
Pilipili manga ½ kjk cha chai
Ute wa yai 1 kubwa
Unga wa corn starch robo ¼ kikombe
Unga wa ngano ½ nusu kikombe

Uji
Vijiko 2 vya kulia unga wa corn starch
Maji ya machungwa ¼ robo kikombe

Sosi ya Machungwa

Soy sosi nusu ½ kikombe
Maji ya machungwa ½ kikombe
Tangawizi mbichi ilokatwa vipande vidogo – kjk 1 cha kulia
Sukari vjk 2 vikubwa
Pilipili kavu ya kusaga kjk 1 cha chai
Siki nyeupe ¼ robo kikombe
Kituguu thom kjk 1 kikubwa
Chumvi ( kama utapenda)
Asali Vijiko 3-4 vikubwa
Maganda ya machungwa yalo parwa ( zest ) kjk 1 cha kulia
Ufuta/kitunguu cha kijani kwa mapambo ( kama utapenda)

ENGLISH VERSION OF THIS RECIPE https://youtu.be/zsaWEoLbrGU
Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment