Share

MISHKAKI YA MAINI NA UROJO WA UKWAJU

Mahitaji
Maini kiasi 700 gms
Mafuta ( kama utapenda)

Bizari za kurost

Kijiko 1 cha kula bizari ya uzile
Kijiko 1 cha kula pilipili manga nzima

Kitunguu thom kiasi chembe
Tangawizi mbichi ukubwa wa kidole cha gumba
Majani ya nanaa ( kama utapenda)
Ndimu au limao
Mafuta ya zeti au yoyote kjk 1 kikubwa au zaidi
Chumvi kiasi
Kjk 1 cha kulia mchanganyiko wa
Bizari na pilipili manga

Urojo wa Ukwaju
Roweka ukwaju kiasi gram 50-70 kwenye kikombe 1 cha maji ya moto

½ kikombe cha urojo wa ukwaju
Chembe 2-3 za kitunguu thom
Kipande chembamba cha tangawizi mbichi
½ kjk cha chai chai bizari ya ya pilipili manga
Chumvi kiasi
Sukari ½ kjk cha chai
Nyanya 1 kubwa ( ilochemshwa)
Maji ya ndimu au limao ½ kjk cha chai
Pilipili mbich nyekundu au kijani 1 au zaidi

ENGLISH VERSION OF THIS RECIPE CAN BE FOUND ON THIS LINK https://youtu.be/HscgMbIVHwk
Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en

Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Leave a Comment